Mkataba wa Utoaji Huduma kwa Wananchi
MKATABA WA UTOAJI HUDUMA KWA WANANCHI
Orodha |
Huduma |
Mahitaji ykupokea/kupata |
Gharama ya |
Muda wa |
1. |
Kushughulikia wageni |
Kuwasili kwa mgeni |
Bila malipo |
Ndani ya dakika tano baada ya kuwasili kwenye mapokezi |
2. |
Majibu ya mawasiliano ya kawaida na maswali ya jumla |
Simu inayoingia |
Bila malipo |
Ndani ya milio mitatu |
3. |
Majibu ya mawasiliano ya kawaida na maswali ya jumla |
Barua iliyoandikwa kupokelewa rasmi |
Bila malipo |
Kukiri upokezi ndani ya siku mbili za kazi |
Kupokea ombi la barua pepe |
Bila malipo |
Siku moja ya kazi |
||
4. |
Utatuzi wa malalamiko ya wateja |
Kupokea malalamiko rasmi |
Bila malipo |
|
5. | Fidia kwa wadai |
Fomu ya madai ya fidia iliyokamilishwa ipasavyo na kuwasilisishwa pamoja na hati zifaazo. |
Bila malipo | Siku 30 tangu tarehe ya kupokea dai |
6. |
Huduma za usimamizi wa kisheria |
Barua ya uteuzi na Mamlaka ya Udhibiti wa Bima |
Kama ilivyojadiliwa na kuafikiwa na mamlaka ya uteuzi |
Ndani ya siku 365 baada ya kuteuliwa. |
7. |
Kusitisha/kusimamisha makampuni ya bima |
Uteuzi kwa amri ya Mahakama |
Kama ilivyojadiliwa na kuafikiwa na mamlaka ya uteuzi |
Shughuli huanza ndani ya masaa 24 baada ya kuteuliwa. |
8. |
Malipo ya wauzaji |
Nyaraka zifaazo:
|
Bila malipo |
Malipo yanatolewa ndani ya siku 30 baada ya kupokea |
9. |
Malipo ya Ushuru |
|
Bila malipo |
Siku moja ya kazi |
TUMEJITOLEA KWA ADABU NA UBORA KATIKA UTOAJI HUDUMA.
Huduma yoyote au bidhaa inayotolewa ambayo haiambatani na viwango vilivyo hapo juu au afisa ambaye hafikii ahadi ya uungwana na ubora katika utoaji wa huduma inapaswa kuripotiwa kwa:
Msimamizi Mdhamini Wamiliki wa Hisa za Fidia
Policyholders Compensation Fund
KWFT Center, 6th Floor, Masaba-Kiambere Road
P.O. Box 24203 – 00100 Nairobi.
Simu: : +254-20-4996236/7/8, 0794 582 700
Barua pepe:
Tovuti: www.pcf.go.ke
Katibu wa Tume/Mkurugenzi Mtendaji, Tume ya Haki ya Utawala,
Commission on Administrative Justice
2nd Floor, West End Towers, off Waiyaki Way
P.O. Box 20414 – 00200 Nairobi.
Simu: +254-20-2270000/ 2303000/ 2603765/ 2409574/ 0777 125818/ 0800221349 (Toll free)
Barua pepe:
Service Delivery Charter
CITIZENS’ SERVICE DELIVERY CHARTER
S/No. |
Service Rendered |
Requirements to obtain Service |
Cost of Service |
Timeline |
1. |
Attending to visitors |
Arrival of a visitor |
Free |
Within five minutes upon arrival at the reception |
2. |
Receiving incoming calls |
Incoming call |
Free |
Within three rings |
3. |
Response to routine correspondence and general enquiries |
Written correspondence formally received |
Free |
Acknowledgement within 2 working days |
Receipt of email request |
Free |
1 working day |
||
4. |
Resolution of customer complaints |
Receipt of formal complaint |
Free |
|
5. | Compensation to Claimants |
Duly completed compensation claim form submitted with prescribed supporting Documentation. |
Free | 30 days from the date of receipt of the claim |
6. |
Statutory Management Services |
Appointment Letter by Insurance Regulatory Authority |
As negotiated with the appointing authority |
Within 365 days after appointment. |
7. |
Liquidate Insurance Companies |
Appointment by Court Order |
As negotiated with the appointing authority |
Process commences within 24 hours upon appointment |
8. |
Payment of suppliers |
Supporting documents:
|
Free |
Payment made within 30 days upon receipt of goods/services |
9. |
Receipt of Levy |
|
Free |
I working day |
WE ARE COMMITTED TO COURTESY AND EXCELLENCE IN SERVICE DELIVERY.
Any service or good rendered that does not conform to the above standards or an officer who does not live up to the commitment to courtesy and excellence in service delivery should be reported to:
The Managing Trustee
Policyholders Compensation Fund
KWFT Center, 6th Floor, Masaba-Kiambere Road
P.O. Box 24203 – 00100 Nairobi.
Tel: +254-20-4996236/7/8, 0794 582 700
Email:
Website: www.pcf.go.ke
The Commission Secretary/CEO
Commission on Administrative Justice
2nd Floor, West End Towers, off Waiyaki Way
P.O. Box 20414 – 00200 Nairobi.
Tel: +254-20-2270000/ 2303000/ 2603765/ 2409574/ 0777 125818/ 0800221349 (Toll free)
Email:
More Articles ...
Page 1 of 2